Pichani ni wasani wenzake mbalimbali ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika maombolezo nyumbani kwake hii leo Sinza jijini Dar es Salaam.

Msanii wa Filamu za Bongo Movie "Marehemu Steven Kanumba anataraji kuagwa siku ya Jumanne katika viwanja vya Lidaz jijini Dar es Salaam.
Picha na Mamapipiro Blog.
0 comments:
Post a Comment