Home » » EVANS BUKUKU'S COMEDY CLUB ILIVYOWABAMBA MASHABIKI NDANI YA NYUMBANI LOUNGE JIJINI DAR ES SALAAM

EVANS BUKUKU'S COMEDY CLUB ILIVYOWABAMBA MASHABIKI NDANI YA NYUMBANI LOUNGE JIJINI DAR ES SALAAM


Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment,
Evans Bukuku akifanya vitu vyake ndani ya kiota cha Nyumbani Lounge
jijini Dar es Salaam.
 Kumbukumbu kwa ajili ya tukio hilo zikiendelea na kurekodi picha za tukio hilo.

 Baadhi ya wadau wa mchekeshaji huyo wakifuatilia kwa makini kilichokuwa kikiendelea.
 Baadhi ya wadau wa mchekeshaji huyo wakifuatilia kwa makini kilichokuwa kikiendelea.
Picha zote na Kajunason Blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa