Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » RAIS JK KUZINDUA MUONGOZO WA MAADILI KWA WAMILIKI NA MAMENEJA WA VYOMBO VYA HABARI KESHO

RAIS JK KUZINDUA MUONGOZO WA MAADILI KWA WAMILIKI NA MAMENEJA WA VYOMBO VYA HABARI KESHO





Chama
cha Wamiliki wa Vyombo Vya habari Tanzania, kwa kushirikiana na Taasisi
ya Afrika inayojihusisha na mambo ya habari, AMI, kesho wanatarajia
kuzindua Muongozo na Kanuni kwa wamiliki na mameneja wa vyombo vya
habari nchini, katika hoteli ya Serena ambapo mgeni rasmi anatarajiwa
kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Jakaya Mrisho
Kikwete. Pichani juu ni kamati ya Maandalizi, kutoka kushoto ni Mmjumbe
wa Kamati Abdallah Mrisho, Mshauri wa Habari kutoka AMI Wangethi Mwangi,
Mwenyekiti wa Kamati Theophil Makunga na Katibu wa Kamati, Henry
Muhanika, wakati walipoongea na wanahabari leo kwenye Hoteli ya Serena
jijini Dar es salaam.
Ndugu Wangeti (wa pili kulia), akisisitiza jambo katika mkutano huo. Kushoto kabisa ni Mjumbe wa Kamati, Steward Kasambala.
Mjumbe
wa kamati ya maandalizi Dk. Roukaya Kasenally (katikati) akiongea na
wanahabari, kulia ni Ofisa Msaidizi kutoka AMI, Noreen Wambui.
Sehemu ya wanahabari waliohudhuria mkutano huo leo

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa