Home » » MAKAMU WA RAIS DK. GHARIB BILAL ATOA MSAADA KWA VITUO VIWILI VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR ES SALAAM

MAKAMU WA RAIS DK. GHARIB BILAL ATOA MSAADA KWA VITUO VIWILI VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR ES SALAAM

 Msaidizi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, eneo la Makaazi, Peleleja Masesa (kushoto) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vyakula, Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha kulelea Watoto Yatima cha Orphanasi Trust Fund Msongola, Deusdelit Mitauto, kwa niaba ya Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Makabidhiano hayo yalifanyika jana jijini Dar es Salaam.
Msaidizi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, eneo la Makaazi, Peleleja Masesa (kushoto) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vyakula, Mkuu wa Kituo cha kulelea Watoto Yatima cha Group Trust Fund-Chamanzi, Fredy George, kwa niaba ya Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Makabidhiano hayo yalifanyika jana jijini Dar es Salaam. 
Picha na Amour Nassor-Ofisi ya Makamu wa Rais

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa