Home » » Waziri Mpya Wa Maliasili na Utalii Balozi Khamisi Kagasheki na Naibu Wake Lazaro Nyalandu Waanza Kazi Rasmi Baada Ya Kukabidhiwa Wizara na Aliyekua Waziri Wa Maliasili na Utalii Ezekieli Maige

Waziri Mpya Wa Maliasili na Utalii Balozi Khamisi Kagasheki na Naibu Wake Lazaro Nyalandu Waanza Kazi Rasmi Baada Ya Kukabidhiwa Wizara na Aliyekua Waziri Wa Maliasili na Utalii Ezekieli Maige

Waziri wa maliasili na utalii  Mh; Balozi Khamisi Kagasheki akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa ofisi rasmi leo ambapo amesema watendaji wote walioguswa na kashfa mbalimbali katika wizara hiyo watachukuliwa hatua za kisheria mara moja iwezekanavyo.
Naibu Waziri wa maliasili na utalii Mhe. Lazaro Nyarandu akisisitiza jambo katika hafla hiyo ya makabidhiano ya ofisi iliyofanyika leo katika wizara ya maliasili na utalii.
liyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Ezekieli Maige katika  Akiongea na waandishi wa habari leo .katika. Hafla ya kukabidhi ofisi kwa waziri mpya wa wizara hiyo Mh Balozi Khamis Kagasheki ambaye ni wa kwanza kushoto na Naibu Waziri wake Mhe.Lazaro Nyarandu ambaye ni wa kwanza kulia.katika ukumbi wa mikutano wa wizara ya maliasili na utalii jijini Dar es salaam.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa