Home » » MAMLAKA YA VITAMBULISHO YAHITIMU UZINDUZI WA UTOAJI WA VITAMBULISHO

MAMLAKA YA VITAMBULISHO YAHITIMU UZINDUZI WA UTOAJI WA VITAMBULISHO

Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya vitambulisho vya Taifa Bw.Dickson Maimu
Akiongea na wahariri wa vyombo vya habari na waandishi wa habari
waandamizi leo makao makuu ya mamlaka ya vitambulisho vya Taifa jijini
Dar es salaam, kuhusu kusitishwa kwa muda wa uzinduzi wa utoaji vitambulisho
vya Taifa uliokuwa ufanyike mapema mwezi huu, ili  kuyafanyia
kazi mapendekezo ya wadau yaweze kuingia kwenye mfumo.hata, Hivyo
Bw.Dickson Maimu amesema mradi umekamilika ila zimejitokeza changamoto
na mahitaji ya msingi kutoka kwa wadau muhimu wa vitambulisho vya Taifa
kwa hiyo mamlaka haina budi kuyafanyia kazi ili kitambulisho kiwe
kimekidhi maitaji yote ya msingi.
Baadhi ya wahariri na waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano
huo leo katika makao makuu ya mamlaka ya vitambulisho vya taifa jijini
Dar es salaam.
(PICHA NA PHILEMONI SOLOMON)

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa