Waziri wa Sanyasi Mawasiliano na Tekenolojia Profesa Makame Mbarawa Akiongea na wadau wa TEHAMA katika uzinduzi wa semina maalumu ya kuangalia maendeleo mbalimbali ya katika sekta hiyo ya habari.semina hiyo inafanyika katika makao makuu ya TCRA Mwenge jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa ICT sayansi na teknorojia Bi Aida Opoku akisisitiza jambo katika semina hiyo.
Wadau mbalimbali waliohudhuria katika semina hiyo wakifuatilia kwa karibu mada mbalimbali zilizo0kuwa nikitolewa katika mkutano huo.
Waziri wa Sanyasi, Mawasiliano na Tekenojia Profesa Makame Mbarawa.(katikati)akishauriana jambo na Naibu waziri wake Charles Kitwanga kushoto.na( kulia) katibu mkuu wa wizara hiyo Dr.Florens Turuka.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
0 comments:
Post a Comment