Home »
» News Alert: Gari laungua moto muda huu katika jengo la Ushirika Jijini Dar es salaam.
News Alert: Gari laungua moto muda huu katika jengo la Ushirika Jijini Dar es salaam.
Gari moja ambalo lilikuwa limepaki maeneo ya Jengo la ushirika limewaka moto muda mfupi uliopita, Lakini Fire wamewahi kuzima moto huo, Inadaiwa chanzo cha moto huo ni Matatizo ya umeme ndani ya Gari hilo.
0 comments:
Post a Comment