Kamishna Msaidizi wa Nishati (Masuala ya Umeme) Mhandisi Innocent Luoga (kulia) akifafanua kwa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini jinsi transfoma zinavyofanya kazi.ambapo amesema zitasaidia kuzalisha umeme katikati ya jiji (City Centre) kila moja ikiwa na uwezo wa kuzasha 15MVA.
Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mariam Kisangi akizungumza mbele ya waandishi wa habari ambapo ameishukuru serikali kwa jitihada zake na kuiomba iendelee kufikiria maeneo mbalimbali.
Mitambo yenyewe.
(Picha zote na Geofrey Mwakibete wa MO BLOG).
0 comments:
Post a Comment