Home » » WATAALAMU WA MAMBO YA AFYA KUTOKA NCHINI INDIA WAJA TANZANIA KWA ZIARA YA UTALII WA AFYA

WATAALAMU WA MAMBO YA AFYA KUTOKA NCHINI INDIA WAJA TANZANIA KWA ZIARA YA UTALII WA AFYA



Mshauri wa Ubalozi wa India, Kunal Roy akiongea katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu ziara ya kitalii ‘’ Utalii wa  Afya‘’  itakoyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia tarehe  30 na 31 Augusti. Moja ya lengo ikiwa ni kujuana kwa wasomi na kuelimishana  na kuboresha huduma.
Mkurugenzi wa Shirikisho Kanda ya India
Chemba ya Biashara na Viwanda (FICCI), Lt. Vivek Kodikal  (kushoto)
akizungumza na waandishi wa habari katika ubalozi wa India uliopo jijini
Dar es Salaam jana kuhusu ziara ya kitalii ‘’ Utalii wa  Afya‘’  itakoyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia tarehe
30 na 31 Augusti. Moja ya lengo ikiwa ni kujuana kwa wasomi na kuelimishana na kuboresha huduma.
Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini mazungumzo hayo.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa