Home » » KIFO CHA MWANGOSI BADO CHAMTESA DK SLAA, SOMA MANENO YAKE FACEBOOK

KIFO CHA MWANGOSI BADO CHAMTESA DK SLAA, SOMA MANENO YAKE FACEBOOK

“Leo imekuwa kijana, mwandishi asiye na hatia Daudi Mwangosi. Una hakika gani kwamba kesho haiwezi kuwa MIMI au WEWE? Umma unashinda. Hofu yao kuu ni kuamka kwa Watanzania. Mauaji ya raia wasio na hatia ni hofu ya wazi wazi! Tuungane, tusimame, tusitetereke, tunakaribia ukombozi!”

Blogzamikoa

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa