Home » » MWANDISHI WA TANZANIA DAIMA AGNESS YAMO AFARIKI DUNIA

MWANDISHI WA TANZANIA DAIMA AGNESS YAMO AFARIKI DUNIA




Habari za kusikitisha zilizoufikia mtandao huu hivi punde zinasema kuwa Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima, Agness Yamo, (pichani)  amefariki Dunia leo katika hospitali ya Jeshi, Lugalo.



Aidha imeelezwa kuwa shughuli za maziko zitafanyika huko nyumbani kwa kaka yake Buguruni jijini Dar es Salaam. 


Mungu ailaze roho ya marehemu Agness Yamo, mahala pema peponi, Amina

Taarifa zaidi kuhusu msiba huo mzito kwa tasnia ya habari tutawajuza kadri zitakavyotufiki.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa