Wasanii kutoka nchini China wakionyesha umahiri wao wakati wa Tamasha la Jifunze Utamaduni wa China lililofanyika jana jijini Dar es Salaam, ambao makundi mbalimbali ya china yalitoa burudani za aina mbalimbali ya michezo jukwaani.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (kulia) akikaribishwa na Balozi wa China nchini Tanzania Lu Youqing (kushoto) allipohudhuria hafla ya Tamsaha la Jifunze Utamaduni wa China lililofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizra ya Nishati na Madini Eliakim Maswi, akitoa hotuba yake wakati wa onyesho la tamasha la jifunze utamaduni wa China katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijijni Dar es Salaam, ambapo aina za michezo mbalimbali pamoja na nyimbo, mazingaombwe kutoka kikundi cha Utamaduni cha Taifa kutoka China kilionyesha na kutoa burudani safi kwa wageni waliohusduria,
Mmoja wa wanavikundi wa China akitoa b urudani.
Kikundi cha Utamaduni cha Taifa kutoka China kikionyesha sanaa yao jukwaani.
Sehemu ya wageni waalikwa wakifuatilia tamasha hilo.
Kikundi cha utamaduni kutoka Tanzania kikitoa burudani, jukwaani. Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
0 comments:
Post a Comment