Home » » TASWIRA ZA MIILI YA ASKARI WA JWTZ WALIOFARIKI NCHINI SUDANI YAWASILI NCHINI NA YAAGWA LEO

TASWIRA ZA MIILI YA ASKARI WA JWTZ WALIOFARIKI NCHINI SUDANI YAWASILI NCHINI NA YAAGWA LEO

 Askari wa Jwtz wakiwa wamebeba moja ya jeneza
la mwili waaskari wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji  wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda
kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga
mili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam
 Mkuu wa Majeshi nchini Devis Mwamunyange  akitoa  heshima za mwisho kwa miili ya marehemu
 Katibu mkuu wizara ya ulinzi  akitoa  heshima za mwisho kwa miili ya marehemu
Mkuuwa
Majeshi nchini Devis Mwamunyange   akifariji mke wa moja wa askari walifariki Bi,
Fatuma Chunguile
 Askari wa JWT wakingiza miili ya marehemu
katika Gari tayari kwa safari ya kuelekea mikoani kwa ajili ya Mazishi
Mkuu wa Majeshi nchini Devis Mwamunyange akiongea na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kutoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu

1 comments:

DON ELLY said...

Mungu azilaze Roho za marehemu mahali peme kwa Aman! Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe!
Pia polen wote mulioguswa na msiba huo mzito kwa Taifa la Tanzania!

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa