Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa udongo kwenye kaburi la aliyekuwa
Katibu wa Chama cha Wanajeshi Wastaafu (RAMETEA), Luteni Kanali Mstaafu,
Adam Hussein Makwaiya katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya
Kisutu jijini Dar es salaam Agust 6, 2012.

Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa Katibu wa Chama cha
Wanajeshi Wastaafu (RAMETEA) marehemu Luteni Kanali Mstaafu, Adam
Hussein Makwaiya katika mazishi yaliyofanyika makaburi ya Kisutu jijini
Dar es salaam Agust 6, 2012 na serikali iliwakilishwa na Waziri Mkuu
Mizengo Pinda.

Waombolezaji wakiuweka kaburini mwili wa aliyekuwa Katibu wa Chama cha
Wanajeshi Wastaafu (RAMETEA),Luteni Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi
wa Tanzania, `Adam Hussein Makwaiya katika mazishsi yaliyofanyika kwenye
makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam Agust 6, 2012 na serikali
iliwakilishwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu

0 comments:
Post a Comment