Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Dkt Fennela Mukangara akihutubia Mkutano wa Idara ya Huduma za wanawake ya Kanisa la Kiadventista Kanda ya Mashariki (hawapo Pichani) wakati wa Ufunguzi wa Semina ya umoja wa wanawake wajasiliamali wa kanisa hilo ulioanza leo jijini Dar es salaam.Semina hiyo itamalizika tarehe 9/9/2012.
Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM
0 comments:
Post a Comment