Home »
» WAJUMBE WA BODI YA UDHAMINI WA PSPF WAFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI WA UWEKEZAJI
WAJUMBE WA BODI YA UDHAMINI WA PSPF WAFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI WA UWEKEZAJI
 |
Mshauri Muelekezi kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi Dkt. Huba Nguluma (kulia) akitoa maelezo kuhusu mradi wa ujenzi wa Jengo la kitega uchumi la PSPF lililopo Sokoine Drive unaoendelea wa kwa Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF. |
 |
Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF wakiwa ziarani katika kutembelea na kukagua Mradi wa Nyumba za wanachama ulioko Chanika Buyuni Dar es Salaam. Mradi wa nyumba hizo una jumla ya nyumba 641- Dar es Salaam (491), Morogoro (25), Mtwara (50), Shinyanga (50) na Tabora (25). |
0 comments:
Post a Comment