Home »
» WIZARA YA AFYA NA WADAU WAKE YASHEREHEKEA KIDONGE CHA 500 KATIKA MAPAMBANO YA MALARIA
WIZARA YA AFYA NA WADAU WAKE YASHEREHEKEA KIDONGE CHA 500 KATIKA MAPAMBANO YA MALARIA
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein Mwinyi akitoa hotuba wakati wa
mkutano wa kusherekea kidonge cha milioni mia 500 ambacho kimepunguza
ugonjwa wa malaria kwa asilimia 45,uliofanyika katika Hotel ya Hyatt
Regency jijini Dar es salaam leo na kushirikisha wadau mbalimbali wa
afya.
Baadhi ya wadau kutoka taasisi za Afya wakiwa katika mkutano huo leo wakushekea kidonge cha milioni mia 500
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein Mwinyi akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa Afya mara baada ya kumalizika kwa mkutano.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE
0 comments:
Post a Comment