Home » » BAADHI YA WAFUASI WA SHEIKH PONDA WAKAMATWA WAKIANDAMANA JIJINI KITUO KIKUU CHA POLISI KATI

BAADHI YA WAFUASI WA SHEIKH PONDA WAKAMATWA WAKIANDAMANA JIJINI KITUO KIKUU CHA POLISI KATI


Mmoja
wa wafuasi wa kikundi cha waislamu wenye imani kali akidhibitiwa na
polisi mara baada ya kukamatwa leo katika kituo kikuu cha polisi Kati
wakijaribu kuandamana ili kushinikiza kiongozi wao Katibu wa Taasisi za
Kiislamu Shekh Ponda  Issa Ponda kuachiwa na jeshi la polisi mara baada
ya kukamatwa jijini Dar es salaam kwa kudaiwa kusababisha vurugujijini
Dar es salaam.Mwandamanaji
mwingine akipelekwa katika kituo kikuu cha polisi kati jijini Dar es
salaam leo mchana mara baada ya kukamatwa akiandamana

Mmoja
wa wananchi akihojiwa na waandishi wa habari ili kutoa maoni yake mara baada ya
maandamano hayo kutawanywa na polisi na baadhi ya waandamanaji kukamatwa
leo mchana

Polisi
wakiwa tayari kwa kudhibiti maandamano hayo katika kituo kikuu cha Reli
ya kati  na karibu na  kituo cha polisi kati jijini Dar es salaam leo mchana.

Picha Kwa Hisani ya Full Shangwe Blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa