Home » » MAASKOFU WATOA TAMKO KUCHOMWA KWA MAKANISA JIJINI DAR ES SALAAM

MAASKOFU WATOA TAMKO KUCHOMWA KWA MAKANISA JIJINI DAR ES SALAAM



 Askafu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT), Dk. Alex Malasusa, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar
es Salaam jana, kuhusu kutoa tamko la maaskofu kutokana na kuchomwa kwa
makanisa katika vurugu zilizotokea Mabagala jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Wa pili kushoto ni Katibu wa Mkuu wa Baraza Maaskofu Tanzania, Padri Anton
Makunde na Padri Silvester Gamanywa .

 Katibu wa Mkuu wa Baraza Maaskofu Tanzania, Padri Anton Makunde akisoma tamko la maaskofu 
kutokana na kuchomwa kwa makanisa katika vurugu zilizotokea Mabagala jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Picha na Mdau Dande Francis

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa