Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Push Mobile Limited, Bw. Freddie Manento akibadirishana mkataba na Mkurungenzi wa Kajunason Blog, Bw. Cathbert Angelo Kajuna mara baada ya Kajunason Blog kuingia mkataba na Push Mobile kuwawezesha wasomaji mtandao huu kupata habari kupitia simu zao za mkononi.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Push Mobile Limited, Bw. Freddie Manento akisaini mkataba wa makubaliano huku pembeni Mkurungenzi wa Kajunason Blog, Bw. Cathbert Angelo Kajuna akishuhudia. Mkataba huo umesaini ofisi za Push Mobile jiji Dar es Salaam.
Mkurungenzi wa Kajunason Blog, Bw. Cathbert Angelo Kajuna akisaini mkataba wa makubaliano na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Push Mobile Limited, Freddie Manento ambapo Kajunason Blog kuingia mkataba na Push Mobile kuwawezesha wasomaji mtandao huu kupata habari kutipia simu zao za mkononi.
Ambapo
mkurugenzi wa kampuni ya Push Mobile alisema kuwa wanafurahishwa na
Kajunason Blog kuingia katika mfumo wa kuwapa habari wasomaji wake kwa
njia ya Simu za Mkononi, "Kajunason Blog ni mtandao wa kwanza kuingia
katika mfumo huu wa kurusha habari kupitia simu za mkononi," alisema.

Kwa
upande wake Mkurugenzi wa Kajunason Blog alitoa shukrani zake kwa
kampuni hiyo na kuihakikishia kufanya kazi nao bega kwa bega ili kuweza
kufikia malengo. Pia aliwaomba wasomaji kumuunga mkono kwa kujisajili
ili wafaidike na huduma hiyo kwa kutuma neno KB kwenda 15678.

0 comments:
Post a Comment