Baadhi ya vyombo vya wakazi wa eneo hilo waliobomolewa nyumba zao vikiwa nje. |
Zoezi la bomoa bomoa likiwa limepamba moto. |
Zoezi la kubomoa nyumba zilizopo mabondeni eneo la Hananasif katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar likiendelea leo. |
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Charles Kenyera akizungumza na wanahabari wakati wa zoezi la bomoa bomoa. |
0 comments:
Post a Comment