Home » » WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAENDESHA KLINIKI TANESCO

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAENDESHA KLINIKI TANESCO



Meneja Ufundi wa kampuni ya Mawasiliano ya VodacomTanzania Simon Martin akimwelekeza mmoja wa wafanyakazi wa Shirika la umeme Tanesco jinsi ya kujaza fomu za maoni kuhusu huduma za kampuni hiyo wakati wa kliniki iliyofanyika makao makuu ya shirika hilo Ubungo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa VodacomTanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kushiriki katika kliniki ya utoaji maoni kuhusu huduma za kampuni yao kwa wafanyakazi wa Shirika la umeme Tanesco iliyofanyika makao makuu ya shirika hilo Ubungo jijini Dar es Salaam.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa