Home » » BREAKING NUUUUZ: TAARIFA ZA AWALI ZA VURUGU KARIAKOO MUDA HUU!

BREAKING NUUUUZ: TAARIFA ZA AWALI ZA VURUGU KARIAKOO MUDA HUU!



Taarifa zilizotufikia hivipunde ni kwamba,Polisi wanapambana na na waumini ya Dini ya kiislamu maeneo ya kariakoo.Hali ni tete sana ,kila mmoja nakimbia kuokoa maisha yake...maduka yamefungwa.
kariakoo imekuwa kimyaaa kwa mara ya kwanza,hali ni mbaya sana..Ndugu na jamaa wanakimbia huku na kule
Polisi wakiwa wamesheheni siraha za kutuliza ghasia,magari ya kuwasha moto n.k.Mbele yangu naona kuna kundi la watu wanakimbia huku na kule.
kariakoo yote si shwali kabisa.Nipo mbele ya kituo cha polisi hapa Msimbazi nikiongozana na askari kwaajili ya usalama wangu.
Hii inafutia waislamu kuandamana kwaajili ya kufanya mkutano usio rasmi.Askari ni wajanja sana wamekuwa wakiwakamata wale wote wanaoshitukiwa..wengine wanajifisha kwa kuvaa kofia n.k
watu kadhaa wanashikiliwa hadi sasa.
Endelea kufuatilia

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa