Shadrack Joseph (mwenye suruali nyeusi) akicheza na kundi lake kibao cha marehemu Michael Jackson kiitwacho Thriller.
Rukia Juma ‘Mamaa Mashauzi’ akikamua na kundi la Mashauzi Classic.
Rukia Juma ‘Mamaa Mashauzi’ akikamua na kundi la Mashauzi Classic.
UMATI wa wapenzi wa burudani jana walibanjuka na msanii Denis Kaggia ‘DNA’ kutoka nchini Kenya katika onesho lililofanyika ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam. Burudani hiyo ilisindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo mkali wa muziki wa reggae Jhikoman, Kundi la Taarab la Mashauzi Classic, wanamuziki wa kizazi kipya, Shadrack Joseph, Roma, Dully Sykes na burudani ya sarakasi kutoka mkali wa ishu hizo, Zungu Tasha.
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL)
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL)
0 comments:
Post a Comment