Home »
» DKT. HOSEAH AMUAGA BOSI WA ZAMANI WA TAKUKURU
DKT. HOSEAH AMUAGA BOSI WA ZAMANI WA TAKUKURU
|
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU), Dkt. Edward Hosea akitoa za mwisho kwa mwili wa mtangulizi wake Meja Jenerali Mstaafu Anatory Kamazima, wakati wa ibada ya kumuaga iliyofanyika nyumbani kwake Tegeta Dar es Salaam. Kamazima aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU alifariki dunia mwanzoni mwa wiki katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo Dar es Salaam na anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao Bugashani, Maruku, Mkoani Kagera.
Picha na Michael Jamson |
0 comments:
Post a Comment