.
Kamishna wa Kazi, Bwana Saul Kinemela (aliyesimama) akimkaribisha Katibu Mkuu,
Wizara ya Kazi na Ajira, Bwana Eric Shitindi (aliyekaa kushoto kwa Kamishna) kufungua
rasmi kikao cha mwaka cha siku mbili cha Maafisa Kazi Wafawidhi nchini. Kikao hicho
kinafanyika kuanzia tarehe 4-5/10/2012 jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu, Wizara ya Kazi na Ajira, Bwana Eric Shitindi akifungua rasmi kikao cha
mwaka cha siku mbili cha Maafisa Kazi Wafawidhi nchini. Kikao hicho kinafanyika kuanzia
tarehe 4-5/10/2012 jijini Dar es Salaam
Kamishna wa Kazi, Bwana Saul Kinemela (aliyesimama) akitoa mada katika kikao cha
mwaka cha siku mbili cha Maafisa Kazi Wafawidhi nchini. Kikao hicho kinafanyika kuanzia
tarehe 4-5/10/2012 jijini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment