Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012,wakiwa kwenye picha ya pamoja mchana huu katika kambi yao iliopo kwenye hoteli ya Geraffe,Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.Jumla ya Warembo 30 wameingia kwenye kambi hiyo kujiandaa ya kinyang'anyiro cha kumsaka Mrembo atakaemlithi,Salha Israel ambaye anashikilia Taji hilo hivi Sasa,ambapo fainali za mwaka huu zitafanyika Novemba 3,katika hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar.
Baadhi ya Warembo wa Redd's Miss Tanzania wakibadirisha mawazo wakati wakielekea kwenye chakula cha Mchana wa leo kwenye hoteli ya Geraffe,Mbezi Beach jijini Dar.
Warembo wa Redd's Miss Tanzania wakionyesha umahiri wao wa kutembea (catwork) mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) walioitembelea kambi hiyo leo kwenye hoteli ya Geraffe,Mbezi Beach jijini Dar.
Warembo wakiwa kwenye kambi yao.
Baadhi ya Warembo wa Redd's Miss Tanzania wakiwa katika pozz tofauti tofauti ya picha.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa katika mazungumzo na Warembo wa Redd's Miss Tanzania,waliopo kwenye kambi yao iliyopo kwenye hoteli ya Geraffe,Mbezi Beach jijini Dar es salaam leo waliopowatembelea na kuzungumza nao maswala mbali mbali juu ya mashindano hayo.
0 comments:
Post a Comment