Home »
» LADY JAYDEE KUANZISHA KIPINDI CHA TV, AAHIDI KUTOA ZAWADI NONO KWA WASHINDI WATAKAOBAHATISHA JINA LA KIPINDI NA TV ITAKAYOKIRUSHA. KAZI KWENU WADAU.
LADY JAYDEE KUANZISHA KIPINDI CHA TV, AAHIDI KUTOA ZAWADI NONO KWA WASHINDI WATAKAOBAHATISHA JINA LA KIPINDI NA TV ITAKAYOKIRUSHA. KAZI KWENU WADAU.
Habarini za
Leo, Nimerudi tena. Kutoa jibu la Project yangu mpya... NI KIPINDI CHA TV, ila
nahitaji washindi zadi, Unaweza kubahatisha ni Kituo gani cha TV kitakachorusha
kipindi hicho na Kipindi kitaitwaje????? washindi 5 watashirikishwa katika
hafla ya ufunguzi wa kipindi hicho October 2012... Kazi ni kwenu, zaidi tembelea page ya lady jaydee on facebook
Blogzamikoa
0 comments:
Post a Comment