Home » » MTANDAO WA HIV /AIDS WAZINDULIWA

MTANDAO WA HIV /AIDS WAZINDULIWA


Kaimu
mkurugenzi wa Tume ya kudhibiti ukimwi (TACAIDS) Morrs Lekule katikati
akiwasha mshumaa kwa ajili ya kuwakumbuka  watu waliopoteza maisha kwa
ugonjwa wa ukimwi juzi wakati wa uzinduzi wa mtantandao HIV/AIDS
uliofanyika katika Chuo kikuu huria Tanzania jijini Dar es salaam 
(kushoto) ni  makamu mkuu wa chuo kikuu huria Malen Victor watatu kulia
ni mkurugenzi wa Tanzania Youte Pelev Masika  (kulia) makamu mkuu wa
Chuo kikuu huria Tanzania  masomo ya teknolojia  Bw. Modest Varisanga 
wakishuhudia tukio hilo.


Wanafunzi wa chuo hicho wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya uzinduzi huo


Kaimu
Mkurugenzi wa TACAIDS Morrs Lekule akibonyeza kitufe cha kompyuta 
kuashiria uzinduzi rasmi wa  wa tovuti ya HIV/AIDS Club ya chuo kikuu
huria cha Tanzania.


Hapa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi rasmi.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa