Mgeni rasmi Dk. Mary Mwanjelwa akizindua jarida la shule ya Sekondari ya Loyola wakati wa Mahafali yake ya 14 yaliyofanyika mwishoni mwa wiki Shuleni hapo,jijini Dar es salaam.Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, Dk. Binamungu Mukasa.
Mkuu wa Shule hiyo, Dk. Binamungu Mukasa akitoa hotuba yake
Mgeni rasmi katika mahali hayo, Dk. Mary Mwanjelwa akitoa hotuba yake
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoa wa Mbeya, Dk. Mary Mwanjelwa akimkadhi cheti mmoja wa wanafunzi waliofanya vizuri, David Michael Machuche wakati wa mahafali ya 14 ya Shule ya Sekondari ya Loyola yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoa wa Mbeya, Dk. Mary Mwanjelwa akimkadhi cheti, Asinta John Mpesa wakati wa mahafali ya 14 ya Shule ya Sekondari ya Loyola yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoa wa Mbeya, Dk. Mary Mwanjelwa akimkadhi cheti mwalimu wa shule hiyo, Sista Anastella wakati wa mahafali ya 14 ya Shule ya Sekondari ya Loyola yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
David Michael Machuche (katikati) akiwa na wahitimu wenzake
Baadhi ya wahitimu wa Kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Loyola wakiingia kwenye ukumbi wa mahafali shuleni hapo Mabibo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wahitimu wa Kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Loyola wakimsikiliza mgeni rasmi wa mahafali ya 14 shuleni hapo.
Baadhi ya wawakilishi wa Chuo cha St. Paul cha London Uingereza wakisikiliza hotuba ya mgeni rasm, Dk. Mary Mwanjelwa (MP).
Picha Na Michuzi Blog
Picha Na Michuzi Blog
0 comments:
Post a Comment