Rogers pamoja na Benno
Rogers, Fredric, Felix,Jerry, Harold and Benno wakiwa nje ya ukumbi baada ya kutunukiwa shahada ya Udhamiri katika fani ya Biashara ( Masters of Business Administration of University of Dar es Salaam)
Felix, Berthasia, Benno
Benno Mwitumba, Jerry Tunutu, Zainab na Felix
Wadau wakiwa wanapongezana kwa kumaliza safari yao ndefu.
Wadau wakipata picha ya pamoja
Hapa wadau wakiwa Full happy
Mdau Benno Baada ya kupata Nondoz yake ya MBA
Tone Media Tunawapa Pongezi sana wadau wetu wote kwa kula Nondozii ya MBA
0 comments:
Post a Comment