Home » » MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA VIONGOZI WA TAKUKURU, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA VIONGOZI WA TAKUKURU, JIJINI DAR ES SALAAM LEO


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba , 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe, wakati Makamu alipofika kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba , 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Edward Hosea, nje ya Ukumbi wa Mlimani City, mara baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba , 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Edward Hosea, mara baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba, 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho. Picha na OMR.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa