Home » » Wabunge wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge la Afrika Mashariki watembelea Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo

Wabunge wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge la Afrika Mashariki watembelea Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo



Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge la Afrika Mashariki wakipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha Habari cha Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahunda Achentahka (kulia) wakati  walipotembelea Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge la Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Kituo cha Habari cha Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wakati  walipotembelea Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa