Home » » WAREMBO WA REDD'S MISS TANZANIA WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL

WAREMBO WA REDD'S MISS TANZANIA WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL

 Mpishi wa Bia wa Kampuni ya Bia Tanzania,Godfrey Mgalula akitoa ufafanuzi kwa Warembo wa Redd's Miss Tanzania kuhusu upishi wa bia mbalimbali zinazozalishwa kiwandani hapo wakati Warembo hao walipofanya ziara rasmi ya Kutembelea Kiwanda cha Bia Tanzania,Ilala mchikichini,jijini Dar es Salaam leo.
Injinia wa Masuala ya Umeme wa TBL,Elias Nyanda akiwaelezea mambo mbali mbali Warembo wa Redd's Miss Tanzania.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa