Home » » AIBU!! DAWASCO UZEMBE HUU MNAUONA?

AIBU!! DAWASCO UZEMBE HUU MNAUONA?

HAYA NI MABOMBA  YA MAJI SAFI NA SALAMA AMBAYO YANAPITA CHINI YA MITARO YA MAJI MACHAFU.
MABOMBA HAYA AMBAYO HAYANA HATA USALAMA YANAPITISHWA BILA KUJALI ENEO NI SAFI AU LAH
HII NI MITA YA KUSOMEA MAJI AMBAYO IPO KATIKA NYUMBA YA MKAZI MMOJA SINZA, MITA HII IPO NJIANI GETENI KABISA AMBAPO NI RAHISI KUKANYAGWA.

HAPA NI SEHEMU YA KIUNGIO AMBAPO KINAVUJA MAJI NA KUSABABISHA CONTAMINATION KATI YA MAJI MACHAFU NA SALAMA, HALI INAYO WEZA KUSABABISHA HATARI KWA WATUMIAJI.
HILI NI BOMBA AMBALO LINAPITA KATIKATI YA MAJI TAKA NA YASIYO SALAMA HALI INAYO  HATARISHA WATUMIAJI, PIA KUNA BOMBA LIMEPASUKA ENEO HILI.

PICHA ZOTE NA BLOGS ZA MIKOA

1 comments:

Anonymous said...

HABARI...
Naitwa Irene Makene,Meneja Uhusiano DAWASCO, tafadhali naomba taarifa kamili ya picha hizi na exact mahali mlipopiga ili niweze kufuatilia kwa karibu kuhusu hii hali.
Natanguliza shukrani zangu za dhati, natambua na kufahamu kwamba, nyie pia ni sehemu muhimu ya kuweza kutusaidia kupata taarifa kama hizi. Asante

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa