Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza waombolezaji kuweka maua katika mwili wa Mzee Jayantlal Rajani ikiwa ni ishara ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu wakati wa kuaga mwili wa marehemu Mzee Rajani nyumbani kwake upanga jijini Dar es salaam leo.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa mzee Rajani .
(Picha na Owen Mwandumbya).
0 comments:
Post a Comment