Home »
» CHOKOLAA AINOGESHA MSONDO NGOMA MAX BAR ILALA
CHOKOLAA AINOGESHA MSONDO NGOMA MAX BAR ILALA
|
Msanii
wa bendi ya Mapacha Watatu Khalid Chokolaa (kushoto) akiimba sambamba
na wasanii wa bendi ya msondo Muhidini Gulumo Juma Katundu na Shabani
Dede |
|
Wasanii
wa bendi ya msondo ngoma kushoto ni Said Mabdera na Shabani Dede
wakitoa burudani sambamba na msanii wa bendi ya Mapacha Watatu Khalid
Chokolaa alipotembelea bendi hiyo iliyo na Maskani yake Ilala katika ukumbi wa Max Bar |
|
msanii wa bendi ya Mapacha Watatu Khalid Chokolaa kulia akiwa sambamba
na wapuliza Ara wa bendi ya Msondo ngoma kushoto ni Shabani Lendi,
Hamisi Mnyupe na Roman Mng'ande alipotembelea bendi hiyo kongwe kwa
ajili ya kupata burudani pamoja na kutaka kujua miziki ya Asili ya
Tanzania Ilala katika ukumbi wa Max Bar |
|
Msanii wa bendi
ya Msondo Ngoma Romani Mng'ande akiimba sambamba na mwimbaji wa bendi ya
Mapacha WAtatu Khalidi Chokolaa kulia wakati alipotembelea bendi hiyo
mwishoni mwa wikipicha na www.burudan.blogspot.com |
0 comments:
Post a Comment