Home » » WAJUMBE WA TUME YA KATIBA WATATHIMINI AWAMU YA TATU YA UKUSANYAJI MAONI YA WANANCHI

WAJUMBE WA TUME YA KATIBA WATATHIMINI AWAMU YA TATU YA UKUSANYAJI MAONI YA WANANCHI

Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Fatma Said Ally (kushoto) akizungumza
wakati wa kikao cha tathimini ya awamu ya tatu kazi ya ukusanyaji maoni
ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Kikao hicho  kilifanyika leo jumatatu
tarehe 12. Novemba, 2012 katika makao makuu ya Tume hiyo, Jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Mjumbe mwingine wa Tume hiyo, Mohammed Mshamba.

Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Salama Ahmed (katikati) akizungumza
wakati wa kikao cha tathimini ya awamu ya tatu kazi ya ukusanyaji maoni
ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Kikao hicho  kilifanyika leo jumatatu
tarehe 12. Novemba, 2012 katika makao makuu ya Tume hiyo, Jijini Dar es
Salaam. Wengine pichani ni Wajumbe wa Tume hiyo, Esther Mkwizu (kushoto)
na Jesca Mkuchu (kulia).

Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku (kulia) akizungumza
wakati wa kikao cha tathimini ya awamu ya tatu kazi ya ukusanyaji maoni
ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Kikao hicho  kilifanyika leo jumatatu
tarehe 12. Novemba, 2012 katika makao makuu ya Tume hiyo, Jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni mjumbe mwingine, Said El- Maamry.

Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Omary Mussa (kulia) ) akizungumza
wakati wa kikao cha tathimini ya awamu ya tatu kazi ya ukusanyaji maoni
ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Kikao hicho  kilifanyika leo jumatatu
tarehe 12. Novemba, 2012 katika makao makuu ya Tume hiyo, Jijini Dar es
Salaam. Wengine pichani ni Wajumbe wa Tume hiyo, Simai Said (katikati)
na John Nkolo (kushoto).

PICHA NA TUME YA KATIBA

0 comments:

Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa