Home » » Just in: Bibi Tumpe Samwel Mwaijande ndiye Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira na Usalama wa Usafiri wa Majini

Just in: Bibi Tumpe Samwel Mwaijande ndiye Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira na Usalama wa Usafiri wa Majini


Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Eng. Omar A. Chambo kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu Na. 6 (1) (b) cha Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002, amemteua Bibi Tumpe Samwel Mwaijande kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira na Usalama wa Usafiri wa Majini. 

Uteuzi huu unaanza tarehe 19/11/2012.
Imetolewa na;

KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
19/11/2012


0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa