Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahaman Kinana,akisalimiana na Katibu wa Mkoa wa
Vyuo Vikuu ,Christopher Ngubiagai, leo tarehe 19/11/2012 , Ofisi Ndogo
CCM Lumumba.
Vyuo Vikuu ,Christopher Ngubiagai, leo tarehe 19/11/2012 , Ofisi Ndogo
CCM Lumumba.

Katibu wa Uchumi wa Fedha Mama Zakhia Meghji akipokelewa makao Makuu ya Chama, Ofisi Ndogo Lumumba.

Dk.Asha Rose Migiro,Katibu wa siasa na uhusiano wa kimataifa akipokelewa kwa furaha. CCM Ofisi ndogo Lumumba.
Picha na Bashiri Nkromo-Idara ya itikadi na Uenezi-CCM
Picha na Bashiri Nkromo-Idara ya itikadi na Uenezi-CCM
0 comments:
Post a Comment