Vijana walioshiriki katika uzinduzi wa kinywaji kisichokuwa na kilevi cha Alvaro kinachotengenezwa na Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries,wakigonganisha chupa zao kuashiria ishara ya uzinduzi rasmi wa kinywaji hicho hapo jana jijini Da es Salaam.
Warembo walioshiriki katika uzinduzi rasmi wa kinywaji kipya kisichokuwa na kilevi cha aina ya Alvaro kinachotengenezwa na Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries LTD,Wakionesha umahiri wao wa kucheza katika uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Vijana walioshiriki katika Promosheni ya Uzinduzi wa Kinywaji kipya cha kuburudisha kisicho na kilevi cha Alvaro kinachotengenezwa na Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Ltd wakionesha umahiri wao wa kucheza katika uzinduzi hu uliofanyika Mlimani City na Quality Plaza jijini Dar es Salaam,Kinywaji hicho cha Alvero Kimeingia nchini kwa kishindo kwa kupendwa na watu.
0 comments:
Post a Comment