WASANII WA KUNDI LA PAMOJA SANAA GROUP WAKIWASILI KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHAKUWAMA KILICHOPO SINZA MEEDA
WASANII WA KUNDI LA PAMOJA SANAA GROUP WAKIWA NA PILIKA PILIKA ZA HAPA NA PALE WAKIJIANDAA KWA AJILI YA KUWAONA WATOTO HAO
BAADHI YA WATOTO WA KITUO CHA CHAKUWAMA WAKIFURAHIA UGENI WA LEO
MLEZI WA KIKUNDI CHA PAMOJA SANAA GROUP MZEE CHONYA AKITOA SALAM ZAKE NA KUSEMA JAMBO LA KWA NINI WALIAMUA KUFIKA KATIKA KITUO HICHO.
MLEZI MKUU KIKUNDI CHA PAMOJA SANAA GROUP MZEE CHONYA AKIKABIDHI MSAADA KWA WATOTO HAO YATIMA AMBAO WANAISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU.
KATIBU MKUU WA KIKUNDI CHA PAMOJA SANAA GROUP ABDALLAH TENGA AKIZUNGUMZIA NIA YA WAO KUFIKA KATIKA KITUO HICHO CHA CHAKUWAMA
MWENYEKITI WA KIKUNDI CHA PAMOJA SANAA GROUP KASSIM MPETA
MSIMAMIZI MKUU WA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA, NDUGU HASSAN AKITOA MAELEZO MAFUPI JUU YA KITUO HICHO
MANUARI MRUMA (MR.NZOKE) AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
BI UKUMBI AKIWA PAMOJA NA MLEZI MKUU WA WATOTO NDUGU HASANI
BI. URUMBI
MZEE MAGOBA AKIWA NA MMOJA WA WATOTO YATIMA
BAADHI YA WASANII WA PAMOJA SANAA GROUP WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MMOJA YA WATOTO YATIMA
VITU MBALIMBALI VILIVYO TOLEWA NA KIKUNDI CHA PAMOJA GROUP
PICHA YA PAMOJA YA KIKUNDI CHA PAMOJA GROUP NA WATOTO YATIMA
VIONGOZI WA KIKUNDI CHA PAMOJA SANAA GROUP
WATOTO YATIMA WAKIIMBA WIMBO WA KUSHUKURU KWA MAJONZI MAKUBWA JAMBO LILILOSABABISHA WASANII WENGI KUTOKWA NA MACHOZI.
MZEE MAGOBA WA KATI KATI AKILIA BAADA YA KUGUSWA NA UJUMBE WA WIMBO WA WATOTO YATIMA
MSANII TEGE AKILIA KWA UCHUNGU WAKATI WATOTO WAKIIMBA WIMBO WA MAJONZI
WASANII WADOGO WA KIKUNDI CHA PAMOJA SANAA GROUP WAKIFANYA IGIZO FUPI
WASANII WAKIIGIZA
PICHA ZOTE NA BLOGSZAMIKOA
0 comments:
Post a Comment