Dk Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya
Na Mwandishi wetu
13th November 2012
Serikali imetangaza vita na waganga wa kienyeji waliobandika mabango sehemu mbalimbali za nchi na watu wengine kuwa wanatibu ugonjwa wa Ukimwi.
Akizumgumza katika mkutano wa Tacaids uliofanyika jijini Dar es Salaam jana na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa mashirika ya dini, taasisi binafsi na watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Paniel Lyimo, alisema mpaka sasa hakuna dawa ya ugonjwa huo.
Alisema dawa ikipatikana ...www.kwanzajamii.com/?p=4334
0 comments:
Post a Comment