HILI NI ENEO MOJAWAPO AMBALO WAFANYABIASHARA WANALALAMIKA KUWA JIJI HAWANA MPANGO HATA WA KUSAFISHA.
MFANYA USAFI WA JIJI AKIWA AMEPAKI KIMKOKOTENI KATI KATI YA BARABARA AKIWA ANAENDELEA NA KAZI ZA KUKUSANYA TAKATAKA.
MTARO HUU UKIWA UMEJAZA MATAKATAKA AMBAYO YAMEOZA NA KUSABABISHA HARUFU MBAYA ENEO HILI LA MWENGE KWA WAFANYABIASHARA NA WATEJA PIA
HUU NI MTARO AMBAPO UKIVUKA UNAKUTANA NA MADUKA
PICHA ZOTE NA : www.blogszamikoa.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment