Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » Mhe. Mahadhi akabidhi Kibali cha Uwakilishi wa heshima wa Senegal

Mhe. Mahadhi akabidhi Kibali cha Uwakilishi wa heshima wa Senegal


Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akisalimiana na Bibi Rima Yassine Khalaf, Mwakilishi wa Heshima wa Serikali ya Senegal nchini Tanzania walipokutana ofisini kwa Naibu Waziri leo.


Mhe. Naibu Waziri akimkabidhi Kibali Bibi Khalaf ili aweze kutekeleza majukumu yake ya Uwakilishi wa Heshima wa Serikali ya Senegal nchini Tanzania.

Mhe. Naibu Waziri na Bibi Khalaf wakiwa katika mazungumzo mara baada ya zoezi la makabidhiano ya Kibali kukamilika

Mazungumzo yakiendelea huku Bibi Mercy Kitonga wa kwanza kushoto na Bw. Celestine Kakele wa kwanza kulia, Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje, wakisikiliza kwa makini. Picha na mpiganaji Ally Kondo wa  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa