Home » » Mrakibu Mwandamizi wa Polisi EX SSP Hawa Luzy Aliyefariki Darfur Sudan Alikokuwa Kwenye Shughuli za Ulinzi wa Amani Azikwa Jijini Dar es Salaam

Mrakibu Mwandamizi wa Polisi EX SSP Hawa Luzy Aliyefariki Darfur Sudan Alikokuwa Kwenye Shughuli za Ulinzi wa Amani Azikwa Jijini Dar es Salaam






Maofisa wa Polisi wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa Mrakibu
Mwandamizi  wa Polisi EX SSP Hawa Luzy aliyefia Darfur Sudan alipokuwa
amekwenda kwa ajili shughuli za ulinzi wa amani katika jimbo hilo.Ofisa
huyo alizikwa jana katika makaburi ya Kisutu.
Askari wa Kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) Wakitoa heshima za
mwisho kwa mwili wa Mrakibu Mwandamizi wa Polisi EX SSP Hawa Luzy
aliyefia Darfur Sudan alipokuwa amekwenda kwa ajili shughuli za ulinzi
wa amani katika jimbo hilo.Ofisa huyo alizikwa jana katika makaburi ya
Kisutu kwa heshima zote za kijeshi.Picha na Frank Geofray-Jeshi la
Polisi

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa