Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » RAIS KIKWETE AKAMILISHA USAJILI WA KITAMBULISHO CHA TAIFA, AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA MSTAAFU

RAIS KIKWETE AKAMILISHA USAJILI WA KITAMBULISHO CHA TAIFA, AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA MSTAAFU



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa wakati alipokamilisha taratibu za kupatiwa Kitambulisho cha Taifa nyumbani kwake asubuhi ya leo, Ijumaa, Februari Mosi, 2013.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini baada ya  kuthibitisha maelezo yake binafsi kwenye Fomu ya Kitambulisho cha Taifa wakati alipokamilisha taratibu za kupatiwa Kitambulisho hicho  nyumbani kwake jijini Dar es salaam  leo, Ijumaa, Februari Mosi, 2013. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Bwana Dickson E Maimu. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akipigwa akichukuliwa alama vidole wakati alipokamilisha taratibu za kupatiwa Kitambulisho cha Taifa nyumbani kwake asubuhi ya leo, Ijumaa, Februari Mosi, 2013. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na  Makamu wa Rais Mstaafu wa Benki ya Dunia, Bwana Justin Yifu Lin,  leo, Ijumaa, Februari mosi, 2013 Ikulu, Dar es Salaam. Kulia  ni Balozi wa China katika Tanzania Mheshimiwa  Lu Youqing.PICHA NA IKULU.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa