Mkurugenzi wa Tume ya Sayansi na Teknologia Dr. Hassan Mshinda akikata utepe kuashiria ufunguzi wa mashindano ya "INFOMATRIX AFRICA" yanayoshirikisha nchi zaidi ya 17, kulia kwake ni Mkurugenzi mkuu wa shule za Feza Ibrahim Bicaku na kushoto kwake ni Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Balozi Ali Davudoglu.
Mkurugenzi wa Tume ya Sayansi na Teknologia Dr. Hassan Mshindaakiangalia na kupata maelekezo ya ubunifu wa kiteknologia kutoka kwa moja ya washiriki wa "Infomatrix Africa" yaliyoandaliwa na shule za Feza.
Baadhi ya walimu wakijadiliana jambo kuhusu maksi za washiriki wa moja ya shindano katika hafla ya uzinduzi wa Infomatrix Africa
0 comments:
Post a Comment