Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete, wakimjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, aliyepumzishwa katika chumba cha dharura katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo.
Mzee Kingunge alikimbizwa Hospitalini hapo baada ya kujisikia vibaya.
jopo la madaktari bingwa linamfanyia uchunguzi Mzee Kingunge ili kubaini ugonjwa unaomsumbua.
Aliyesimama Nyuma ya Rais ni mke wa Mzee Kingunge na kushoto ni mtoto wa Mzee Kingunge, Kinjekitile. Picha na Freddy Maro
0 comments:
Post a Comment